Kura ya mtandaoni kwa kauli mbiu ya SKPG 2015
Tafadhali chukua dakika chache za wakati wako muhimu kujibu kura hii. Hii ni kwa kauli mbiu ya SPKG 2015, ambayo itaratibiwa na kundi letu kwa mwaka huu. Ushirikiano wako unathaminiwa sana ili kutusaidia kufanikisha kazi haraka.
ni kauli mbiu ipi inafaa zaidi kwa SKPG 2015 kulingana na nembo iliyo hapa chini
Chaguo jingine
- rudi kutoa huduma