MASWALI YA UTAFITI WA KUJUA KUHUSU TV NA WATAZAMAJI WAKE.
Tafadhali jibu maswali yote kwa usahihi
Hili ni karatasi la maswali, tafadhali chukua dakika chache kujibu maswali haya, utafiti huu utasaidia kujua jinsi watu wanavyotazama TV, utafiti huu utatusaidia kupata mawazo na vipindi bora ambavyo havipo kwenye tasnia ya TV, msingi. juu ya maombi ya watazamaji, kile wangependa na wanataka kuona kwenye TV zao.
Asante sana kwa kuchukua muda wako.
Majibu yako ni ya siri
Jinsia
Umri
- 30
- 34
- 29
- 30
- 28
- 24
- 29
- 30
- 30
- 27
Kazi
- mjasiriamali
- mkurugenzi
- mwigizaji
- mwandishi wa filamu
- dubbing
- mwandishi wa habari
- ni
- msimamizi wa ujumbe
- msimamizi wa upanuzi
- mhariri
Unatazama TV?
Unatazama TV kwa kutumia nini?
Unatumia Mtandao kufatilia vipindi ambavyo ulivikosa [mfano YouTube]
kwa siku ni muda gani huwa unaangalia TV
Ungependelea kutazama vipindi vya aina gani katika Chaneli mpya
Unapenda Filamu za aina gani
Ikiwa mfululizo, unapenda mfululizo wa aina gani?
Documentary
Vipindi vya uhalisia
Vipindi vya Mazungumzo
Taja chanel zako 3 uzipendazo za Kiswahili kwa sasa
- kila tv, tbc na azam mbili
- mambo tv eatv mawingu
- utv, itv, azam mbili
- mambo tv, ltv, star time kiswahili
- mambo moto. 2 maisha ya kichawi bongo.
- mambotv kiswahili, mambo moto tv, nyota kiswahili
- mambo tv
- eatv, startv, wasafi
- eatv, wasafi, etv
- 1. wasafi 2. mawingu 3. etv