Mchakato wa kuhamia Tanzania na diaspora unaweza vipi kuboreshwa?
Ungiupenda kulipa kiasi gani (kwa dola za Marekani) kwa visa maalum (kibali) kwa muda uliouchagua katika swali lililopita?
nahitaji kwanza kuchunguza uwezekano, mahitaji na aina za miradi ya biashara ambayo hakika itakuwa na faida katika mazingira hayo ya kijamii na kijiografia. nitafanya utafiti wa soko wa "mahitaji", "matakwa", na viwango vya mapato yanayopatikana. na kutoka kwa uchambuzi huo, nitajua kama nataka kuwa raia mhamiaji au raia mhamiaji-mwekezaji. kulipa $500.00 kwa visa maalum? nahitaji maelezo zaidi.