Swali la sampuli

Unaona nini katika picha hii?

  1. ninaona rangi buluu, njano, kijani, mekundu na rangi ya rangi.
  2. v rangi kadhaa
  3. mchoraji
  4. mahaririko ya rangi
  5. rangi
  6. uchoraji 🖼
  7. 1. "ni sanaa ya kiabstrakta yenye madoa ya rangi zilizokosa mpangilio." 2. "inawakilisha ubunifu na uhuru." 3. "rangi zinaonyesha furaha na nguvu." 4. "ni alama ya mawazo yasiyo na mipaka." 5. "inavyoonyesha utofauti na mwendo kupitia rangi."
  8. maji ya rangi
  9. madoa
  10. nimepata.