Umuhimu wa matumizi ya ardhi na faida zake kwa ustawi wa binadamu
Karibu kwenye tafiti yetu,
Lengo la tafiti hii ni kubaini bidhaa, huduma na thamani za mandhari ambazo ni muhimu
kwa ustawi wa binadamu. Bidhaa, huduma na thamani ni faida ambazo tunapata kutoka kwa asili.
Huduma za mifumo ya ikolojia ni faida nyingi na tofauti ambazo wanadamu hupata bure kutoka kwa mazingira ya asili na kutoka kwa mifumo ya ikolojia inayoendeshwa vizuri. Mifumo hiyo ya ikolojia inajumuisha kilimo, misitu, nyanda za majani, mifumo ya majini na baharini.
Tafiti hii itachukua takriban dakika 10.
Tafiti hii ni sehemu ya mradi wa FunGILT unaofadhiliwa na LMT (Nambari ya mradi P-MIP-17-210)
Asante kwa kushiriki kwenye tafiti yetu!
Matokeo ya maswali yanapatikana hadharani