Wewe ni kile unachokula!
Je, unatoa umuhimu kwa kile unachokula? Je, unajali kuhusu ubora wa chakula kinachouzwa?
Sisi tunajali maoni yako kuhusu ubora wa bidhaa za chakula zinazozalishwa barani Ulaya.
Tunakualika kujibu maswali 5. Haita chukua zaidi ya dakika 3. Asante!