16
Utafiti huu unahusu aina mbalimbali za kuainisha pikipiki. Hakuna majibu sahihi au yasiyo sahihi. Tafadhali, soma maelezo kabla ya kuanza utafiti. MAELEZO: -SAFARI 1. kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine. 2. safari ndefu ikiwemo kutembelea sehemu mbalimbali kwa mpigo, hasa kwa kikundi kilichopangwa kilichoongozwa na kiongozi....